Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwalaumu Polisi, wao wanatekeleza maagizo tu na hata wao hawana uwezo wa kukataa. Lawama ziende kwa waliowaagizaPolisi wametia aibu sana!
CCM wabadilike waendane na wakati mambo ya kutoa press za kusifia watu hawazitaki tenaHivi ni kwa nini? Wanaogopwa kwamba watafunikwa au font page itakuwa ni ya Chadema badala ya huo mkutano wa M300? Sasa nimeanza kumuelewa Musiba na kauli yake ya wasanii si lolole si chochote mikutanoni.
Niliwaambia kiusalama hiyo Press haitawezekanaMuda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar Es salaam. Hii ni muda mchache kabla ya kuanza kwa press conference ya Katibu Mkuu wa Chama, saa tano asubuhi.
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISAJeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Wakati wanatifuana Polisi CCM ilikuwa haina shida na press conference zao ahta zingefanyika kila saa maana walikuwa wanafurahi kuwa zinaua chama. Sasa wamemaliza kutifuana sasa press conference zao hawazitaki tena.Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Sasa press conference ya Mbyika ina uhusiano gani na huo mkutano wao wa nishati?Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Mnyika aache ujinga Nchi ina ugeni mkubwa 😂CCM wabadilike waendane na wakati mambo ya kutoa press za kusifia watu hawazitaki tena
Kinachozuiwa ni taharuki ambayo inaweza kuletwa na ujumbe utakaotolewa kwenye hiyo press. No muhimi sana wakati mwengine kusema ajenda kwenye tangazo lako ili kupunguza utolewaji wa sababu za jumla za kuzuia.Kwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Ni kama vile huo mkutano inabidi shughuli nyingine zote zisimame sijui na kwingine kunakwua hivi. Mfano kama kuna mkutano wa baraza kuu la UN pale newyork kiila jambo huwa linasimama?Hivi ni kwa nini? Wanaogopwa kwamba watafunikwa au font page itakuwa ni ya Chadema badala ya huo mkutano wa M300? Sasa nimeanza kumuelewa Musiba na kauli yake ya wasanii si lolole si chochote mikutanoni.
Akili zenyewe mnazo,hamkawii kukurupuka na maandamano!Polisi wametia aibu sana!
Sisi tunaishi zama za mawe, ina maana pale marekani kukiwa na mkutano wa baraza la UN mambo mengine huwa hayaendelei?Mnyika aache ujinga Nchi ina ugeni mkubwa 😂
Ole wako uonekane unaenda chooni huku umebeba ndoo na kikopo, utazingirwa na vyombo vya dolasasa huo mkutano watawazuia watu wasiende hata chooni mambo ya kishamba sana
Marekani siyo Tanzania 😀Sisi tunaishi zama za mawe, ina maana pale marekani kukiwa na mkutano wa baraza la UN mambo mengine huwa hayaendelei?