Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Wakati wanatifuana Polisi CCM ilikuwa haina shida na press conference zao ahta zingefanyika kila saa maana walikuwa wanafurahi kuwa zinaua chama. Sasa wamemaliza kutifuana sasa press conference zao hawazitaki tena.
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
Sasa press conference ya Mbyika ina uhusiano gani na huo mkutano wao wa nishati?
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana
 
Kwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Kinachozuiwa ni taharuki ambayo inaweza kuletwa na ujumbe utakaotolewa kwenye hiyo press. No muhimi sana wakati mwengine kusema ajenda kwenye tangazo lako ili kupunguza utolewaji wa sababu za jumla za kuzuia.
 
Hivi ni kwa nini? Wanaogopwa kwamba watafunikwa au font page itakuwa ni ya Chadema badala ya huo mkutano wa M300? Sasa nimeanza kumuelewa Musiba na kauli yake ya wasanii si lolole si chochote mikutanoni.
Ni kama vile huo mkutano inabidi shughuli nyingine zote zisimame sijui na kwingine kunakwua hivi. Mfano kama kuna mkutano wa baraza kuu la UN pale newyork kiila jambo huwa linasimama?
 
Back
Top Bottom