Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.

View attachment 3215420

Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

View attachment 3215428

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.

View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Watanzania inabidi tufike mahali tuseme sasa basi. Maana huu ujinga tumeuleya wenyewe. Sasa polisi wanatumia sheria ipi kuzuwia press conference ambayo hawajaitisha wao? Yaani serikali ya ccm kwa sababu imeamua kuendeleza ujinga basi inalazimisha kila mtu awe mjinga kama kina chalamila
 
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Una mawazo ya kitoto sana mkuu
 
YAANI CHADEMA KUACHA UJI NI KAZI SANA LABDA HUO UJIN UANZE KUWAOMBA HELA, HIVI KWELI UNAONA KABISA KUNA UGENI WA KITAIFA MNAFANYA PRESS YA NINI MNASHINDWA KUVUMILIA SIKU MBILI NDIYO MUANZE HUO UJI WENU? HAMNA ADABU KABISA
Mjinga wewe kwani press inafanyika kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati?
 
Ulitaka achukue hatua saa ngapi? Ye si bingwa wa kutema cheche kwa lile domo pana Kama kinda la ndege hadi linatoa ute mweupe mdomboni? Ulitaka hatua ichukuliwe baada ya mda gani ili press iendelee?? Vipi hamuendi kukinukisha kwa maandamano? Tunataka hatua sasa nyie shwaini.
Wee mbwa 🐕 subiri upandwe!
 
Haina haja ya kugombana, afanye Zoom Meeting na live streaming kila anayetaka kuuona mkutano aufuate huko.
Inaonekana Chadema digital ni kipindi macho, vinginevyo wangetumia njia hii.
 
Busy for nothing, mkutano wa nini wakati Lissu kashinda.
Press conferens blaah blaa za nini?
Sa ingine wawe wanahutubia wake zao huko ndani sisi tumeghairi.
 
Ila wee jamaa una ujinga nwingi sana. Sisi tulikubali kuwa Mbowe akishinda tungejikalia kimya tumuachie Chadema ila uchaguzi ulivyokuwa huru hata Mbowe angeshinda tusingemsimanga ila tungekubali yaishe. Wewe naona umejaa gubu sana. Ulitaka Lissu ashindwe au ulitaka asigombee? Kwani aliiba kura? Mbona gubu sana wewe?
Huyo ana mahaba binafsi na Mbowe nafikiri ni kimada wake siyo kwa makasiroko hayo.
 
Ila wee jamaa una ujinga nwingi sana. Sisi tulikubali kuwa Mbowe akishinda tungejikalia kimya tumuachie Chadema ila uchaguzi ulivyokuwa huru hata Mbowe angeshinda tusingemsimanga ila tungekubali yaishe. Wewe naona umejaa gubu sana. Ulitaka Lissu ashindwe au ulitaka asigombee? Kwani aliiba kura? Mbona gubu sana wewe?
Mlikua wakosoaji wakuu na huyo mpiga domo wenu Leo hii mnataka sisi tusifu?? Mimi nimechagua rasmi kuwa mkosoaji mkuu wa uongozi uliopo Kama ambavyo ninyi mlikua na haki hiyo!!! Mna akili Za kimalaya na kitumwa sana eti gubu kwahyo mnataka kutawala fikra zetu? Huyo Lissu aliahidi kwenda Barabarani Leo anataka aonane na Samia ili iwe nini??

Very soon mtajutia sana kumshabikia huyo hayawani wa kisiasa!
 
Sisi hatukuwahi kumkosoa Mbowe alipokuwa mwenyekiti. Tulimkosoa kipindi cha uchaguzi kumuomba apishe damu nyingine maana nchi kwa sasa imejaa ubabe wa utawala. Sasa uchaguzi umeisha nyie vijana wa Mbowe mnaendekeza gubu!

Kuna shida mahali. Huenda mmepoteza sana! Ila ndo hivyo hamtaenda popote na gubu lenu.

Haya nendeni mkamshabikie Samia ili gubu lipone.
 
Imenifikisha sehem ambayo naelewa kwann press inazuiliwa hivyo imenisaidia kweny uelewa wa mambo. Sasa kama unakiri hauna hio elimu usibishe weny elimu tukiktoa darasa unatakiwa ukae chini utusikilize sio unakuja na mihemko na matusi.
Hawa polisi wangeenda Goma Congo, kukomboa Watanzania wenzetu waliokwama huko ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom