Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 May 15, 2020 #141 Haya nayo yatapita tu Sent using Jamii Forums mobile app
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,509 Reaction score 23,653 May 15, 2020 #142 Hakawii kuwekwa selo moja na waathirika hata 10 wa Corona. Serikali hii haina "UTU" hata kidogo.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 May 15, 2020 #143 chagu wa malunde said: Kwa Nccr mageuzi ni wahalifu? Click to expand... Kufanya mikusanyiko ya kisiasa wakati imekatazwa ni uhalifu.
chagu wa malunde said: Kwa Nccr mageuzi ni wahalifu? Click to expand... Kufanya mikusanyiko ya kisiasa wakati imekatazwa ni uhalifu.
M MIKETHON1991 Member Joined Aug 7, 2013 Posts 78 Reaction score 56 May 15, 2020 #144 CDM wavunja sheria makini sana wakitegemea huruma ya wananchi pale wanapochukuliwa hatua