Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Ingia barabarani uandamane na kuongoza maandamano ili uone kitakachokupata.siyo ulete lugha zako za uchochezi za kuhamasisha machafuko halafu wewe unajificha chooni kwako
Maandamano ya Amani yapo kikatiba .

Hayana uhusiano na uhaini.
 
Nenda barabarani ukaandamane ili ukione cha mtema kuni
Aliandamana Nyerere hakuogopa, Nchi ilipata uhuru.

Mwarabu alipinduliwa akatimkia kusikojulikana, Nyerere hakuogopa. Na CCM ndo ilifanya mapinduzi.

Leo mumrudishe mwarabu Ili kuturudishia utumwani Unadhani tutaogopa?

Ondoeni mkataba fake, wananchi tumeukataa!!!
 
Lucas unatenda dhambi kubwa Sana Bora ungeendelea kusifia kuliko kushangilia madhila kama haya, usidhani wew ni immortal, Acha Kabisa hii dunia ni ina mitihani mingi Sana nakusihi Sana kama Una akili ya kuandika humu basi itumie kufikiri ndg yng
 
Lucas unatenda dhambi kubwa Sana Bora ungeendelea kusifia kuliko kushangilia madhila kama haya, usidhani wew ni immortal, Acha Kabisa hii dunia ni ina mitihani mingi Sana nakusihi Sana kama Una akili ya kuandika humu basi itumie kufikiri ndg yng
Ndugu yangu mimi binafsi sijawahi kupinga ukosoaji unaozingatia demokrasia na haki ya pande zote mbili.siyo haki wala demokrasia wala uhuru tuliouhitaji wa upande mmoja kujipa haki ya kuporomoshea matusi ya kidhalilishaji kwa mtu au watu wengine.hiyo siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu unaoweza kukubalika mahali popote pale.

Kama ni kukosoana tukosoane kwa heshima ,staha na adabu na siyo kutumia lugha zinazochochea na kuhamasisha ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukabila ,jinsia pamoja na kuhamasisha uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini.hilo halikubaliki wala kuvumilika hapa nchini na hatupo tayari kuunga mkono jambo hilo hata kidogo
 
Mahakama imeshatoa uamuzi na kama hujalizika nenda kakate rufaa
 
Mpumbavu hajawahi kua na akili,huo uchafu jpm aliuleta 2020 ndio huwa kujaza bunge wajinga na wapumbavu,mawaziri nao elimu za veta ...mpumbavu hajawahi kua mtawala
Halafu unaweza no yako hapa unatafuta mume
 
Mpumbavu hajawahi kua na akili,huo uchafu jpm aliuleta 2020 ndio huwa kujaza bunge wajinga na wapumbavu,mawaziri nao elimu za veta ...mpumbavu hajawahi kua mtawala
Halafu unaweza no yako hapa unatafuta mume
Naona umepaniki sana.kama unajiamini nenda kaandamane huko ili ukione cha mtema kuni.
 
Wewe ni mpumbavu
Na umeandika ujinga mtupu
Kama hujui, basi jua
Huyu Rais hatukumpigia kura!
 
Ww ni punga tunakujua kitambo
 
Wewe ni mpumbavu
Na umeandika ujinga mtupu
Kama hujui, basi jua
Huyu Rais hatukumpigia kura!
Mh Dr Mama Samia Ni Rais Halali na mwenye mamlaka yote ya Urais kikatiba na kisheria .alizunguka nchi nzima kuomba kura na hata picha yake ilikuwepo kwenye karatasi ya kura.kama hutaki ha Nchi utuachie nchi yetu na Rais wetu mchapa kazi aliyebarikiwa kipawa cha uongozi kutoka kwa mwenyezi Mungu.
 
Wewe hayawani, laana itembee nawe mpaka kizazi chako cha nne.
 
Natamani wamkamate na mbowe na ile kesi yake irejeshwe na lema lile deni lake lirudishwe afungwe kabisa kifungo cha maisha na mbowe ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Utakufa wewe hayawani, na Mbowe atashuhudia msiba wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…