Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Wewe hayawani, laana itembee nawe mpaka kizazi chako cha nne.
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhira hana mawazo kama yakwako wewe mwanadamu.yeye huhukumu kwa haki na siyo chuki kama ulizonazo wewe mwanadamu na watu aina yako ambao mmekuwa mkieeneza maneno ya ubaguzi, chuki, n.k. lazima muwajibishwe kisawa sawa hadi akili zenu ziwakae sawa vichwani mwenu humo.
 
Utakufa wewe hayawani, na Mbowe atashuhudia msiba wako.
Bams mbowe ana kesi ya ugaidi. Asingekuwa Dkt Samia na huruma yake angekuwa keshahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Sasa hivi kwa sababu ya ubishi wake wa kutaka kuipindua serikali maana yake very soon atakamatwa na kesi ya uhaini itaendelea na baada ya hapo atahukumiwa kunyongwa hadi kufa kabisa kabla ya 2025. So ni suala la kisheria kabisa mbowe lazima ahukumiwe kifo afe ili wapotoshaji wajifunze
 
Wewe pia ni Mchochezi mkubwa na thread zako za Uchawa. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akili yake ikaelekea upande moja tu kila siku. Propaganda ni uchochezi pia.
 
nawapongeza polisi kuwakamata wahaini wa kupindua serikali polisi wanafaa waongezewe mishahara kwa kazi nzuri
 
Uhuru wa maoni kikatiba ni Nini? Kuuliza ili kutaka kujua sio uchochezi! Naona "ndio mzee!!" Imepitwa na wakati, Sasa ni ukweli na uwazi.
 
Uhuru wa maoni kikatiba ni Nini? Kuuliza ili kutaka kujua sio uchochezi! Naona "ndio mzee!!" Imepitwa na wakati, Sasa ni ukweli na uwazi.
Mimatusi na lugha za uchochezi wa kuhamasisha machafuko haiwezi kuitwa uhuru wa kikatiba na hauwezi kuvumiliwa.Ni lazima wahusika wasombwe na kutupwa ndani ili kuliponya Taifa na hatari ya kutokea machafuko
 
Wewe pia ni Mchochezi mkubwa na thread zako za Uchawa. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akili yake ikaelekea upande moja tu kila siku. Propaganda ni uchochezi pia.
Ni wapi nimewahi kuandika matusi au lugha za kuhamasisha machafuko,vurugu,uasi na kutaka serikali ipinduliwe kama wafanyavyo chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…