Jeshi la Polisi limekuwa dhaifu kulinda wachochezi

Jeshi la Polisi limekuwa dhaifu kulinda wachochezi

daza steven

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
359
Reaction score
358
Mchungaji Msigwa alipata kusikika akitoa kauli nzito ambazo zingeweza kulimega taifa vipande vipande na hata kusababisha maandamano makubwa katika nchi yetu kama yele yaliyofanyika kule Marekani kwa kupigwa na kufariki dunia kwa Geoge Floyd.

Msigwa alipata kusikika kupitia mitandao ya kijamii akisema Dodoma siyo sehemu salama kabisa kwa usalama wa viongozi wa chadema kwani kumekuwa na mashambulizi ya kuwavamia viongozi wake na sasa wamemshambulia Mwenyekititi wake na kumvunja miguu yote.

Mchungaji Msigwa alikwenda mbali zaidi na kusema kwa mujibu wa mhanga yaani Freeman Mbowe alisema hao watu wasiojulikana walimwambia kuwa lazima wamkomeshe kwani anaisumbua sana serikali hivyo wakamkanyaga kanyagawee na kunvunja miguu yote hivyo kunsababishia maumivu makali na kulaani kwa uhakika kuwa serikali inalinda hao watu wasio julikana.

Sasa hatuelewi haya mambo ni kama yanaishia kimya kimya na jeshi la polisi kweli lilitoa taharifa kumesema Mzee Mboe alikuwa amelewa sana sasa Msigwa aliyatoa wapi hayo maneno ya kichochezi ya kuleta taaruki katika nchi na polisi inamwangalia tu hivi hivi hii imekaaje?
 
Wewe pimbi huyu hapa alikuwa anatoa sacrament?

 
Back
Top Bottom