Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi mama alipanda hiyo treni, kinachofanyika sasa ni kutaka rais aongelee hujuma hewa zinazofanyika, hata hivyo mbona mabasi nayo hutokea yakarushiwa mawe lakini hatujasikia polisi wakiingilia kama hili?Wakuu,
Hii taarifa mbona kama ya kutuzuga hivi? Hayo mawe yalikuwa ya ukubwa kiasi gani mpaka yavunje hivyo vioo? Au ni sababu ya mwendo? Wazee wa physics mje mtueleze.
Lakini pia kama walikuwa wanashindanisha kasi siyo kwamba yangerushwa kwenye uelekeo ule treni inakoenda kuona kipi kitawahi kufika, au ndio yalikata kona kama ile risasi iliopigwa juu karibu na kituo ikarudi chini hadi kumpata mwanafunzi aliyekuwa anajaribu joho, au risasi iliyppigwa juu ikakata kona hadi kumfikia Akwilina?
Mapovu yenu chawa myaache kwenye nguo, mwenye ana majibu ya kitaalamu kuelezea hilo atuambie tuelewe.
=====
Baada ya kufanya msako Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata watoto hao wawili ambao wote wakazi wa kijiji cha Manase Wilaya Chamwino.
Chanzo cha kufanya uharibifu huo ni baada ya kuona treni ikipita wakarusha mawe kwa pamoja ili kuona kama mawe waliyoyarusha yataweza kushindana na mwendo wa treni.
Jeshi la Polisi limetoa wito kwa wananchi wanaoishi maeneo ya karibu na njia hiyo ya treni kupeana elimu juu ya ulinzi wa miondombinu hiyo na kwa wazazi kutoa elimu kwenye familia hasa kwa watoto kuacha vitendo vitakavyosababisha uharibifu na hivyo kukinzana na sheria za nchi.
View attachment 3159991
Isipokua wewe haukua hivyo.Watoto buana wana akili za kijinga sana.
Tanganyika Kuna vituko!Wakuu,

Mkipanua miguu,tatizo linaanzia hapoHao ni watoto wasiojuwa baba zao ni nani.
Huenda ni hujuma zinafanywa na watu wenye nguvu kifedha ila tunazugwaHili nalo ni la kujiuliza, na kwa umri huo nadhani vitakuwa vile vimawe kama wanapiga ndege tu,
Hawa ndo walipatikana baada ya mama zao kuomba chips kavu bila hata mishikakiHao ni watoto wasiojuwa baba zao ni nani.
Hahaa watoto wote wanapitia ujinga ujinga.Isipokua wewe haukua hivyo.
Si ujinga, ni udadisi wa kutaka kuona nini kitakacho tokea.Hahaa watoto wote wanapitia ujinga ujinga.