Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa malalamiko ya mwananchi mmoja dhidi ya askari polisi wa kituo cha polisi Goba

Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa malalamiko ya mwananchi mmoja dhidi ya askari polisi wa kituo cha polisi Goba

Kwa hiyo mnategemea Murilo atakuja kuleta taarifa kuwa ni kweli.Yaani watende na wajichunguze wenyewe nawakiri kosa.

Iwepo idara ya Tume yakisheria ndio iwe inachunguza
Pamoja na ushahidi wa kutosha lakini Zombe na wenzake waliachiwa halafu akahukumiwa yule Askari waliyemtorosha na hakupatikana Hadi kesho.
 
Back
Top Bottom