dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Nov 17, 2021 #21 maajabu, polisisiem kumchunguza polisisiem,
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Nov 17, 2021 #22 Tardy said: Kwa hiyo mnategemea Murilo atakuja kuleta taarifa kuwa ni kweli.Yaani watende na wajichunguze wenyewe nawakiri kosa. Iwepo idara ya Tume yakisheria ndio iwe inachunguza Click to expand... Pamoja na ushahidi wa kutosha lakini Zombe na wenzake waliachiwa halafu akahukumiwa yule Askari waliyemtorosha na hakupatikana Hadi kesho.
Tardy said: Kwa hiyo mnategemea Murilo atakuja kuleta taarifa kuwa ni kweli.Yaani watende na wajichunguze wenyewe nawakiri kosa. Iwepo idara ya Tume yakisheria ndio iwe inachunguza Click to expand... Pamoja na ushahidi wa kutosha lakini Zombe na wenzake waliachiwa halafu akahukumiwa yule Askari waliyemtorosha na hakupatikana Hadi kesho.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Feb 11, 2022 #23 Hii iliishaje??