Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Jeshi la polisi linapaswa kutambua na kuheshimu vyama vyote vya siasa nchini kama ni vyama vinavyounda sura ya uongozi wa nchi yetu bila upendeleo wala ubaguzi haijalishi chama flani kipo madarakani au chama flani hakipo madarakani tunataka usawa kwa kila upande. Kwani sisi wote bado ni watanzania, sisi wote bado ni wale wale kunapaswa kuwa na usawa.