Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne.
Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani.
Walichoweza , ni kuvunja rekodi ya Dunia kwa kumleta Shahidi MKOJOZI namba moja duniani akiwa kizimbani, na pia kumleta shahidi wa kwanza kuwatetea washtakiwa.
Kwa kifupi, hii kesi Inajenga chuki kubwa sana dhidi ya polisi kwa matendo yao ya uonevu ya waziwazi yanayodhiirika wakiwa kizimbani. Polisi wabadilike, tunaishi nao