Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
... tutakupa! Hatari sana.Alisikika mmoja akimwambia mwamba .. This time huchomoi tutakupa kesi ya ugaidi
Ni aibu sana kwa taifaKatika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne...
Kingai huyoAlisikika mmoja akimwambia mwamba .. This time huchomoi tutakupa kesi ya ugaidi
Mkuu sangoma waliomshughulikia dikteta mpaka akakubali kuondoka duniani hatuwezi kuwatumia wakamshughulikia Kingai na genge lake?Walichoweza , ni kuvunja rekodi ya Dunia kwa kumleta Shahidi MKOJOZI namba moja duniani akiwa kizimbani, na pia kumleta shahidi wakwanza kuwatetea washtkiwa[emoji23]
Hamna kitu hapa. Sana sana dingi wako au mother wako atakuwa Njagu tu!usiyoyajua ni bora kuyakalia kimya,
mie ninaimani sana na jjeshi la polisi na ka halijatenda haki basi mahakama itatenda haki
Sidhani kama tunasababu za kujenga chuki kwa ukweli ama uongo tusioujua?
Hii dunia inamambo mengi sana laiti tungeweza funuliwa hasa kwa wale tunaowaamini ama tusiowaamini tungejifunza jambo kubwa sana.
sijui mimi Mungu ndo anaukweli wote na mtuhumiwaHamna kitu hapa. Sana sana dingi wako au mother wako atakuwa Njagu tu!
Binadamu tumejaa unafiki sana, hao hao unaowatusi ndo ukiibiwa hapa pini au ukijikwaa unaenda kulia kwao, tupunguze unafiki.Hatuna Polisi Tanzania, bali tuna genge la majambazi na wahuni, wanaotumia ofisi za umma kutekeleza uovu wao.
Hawa akina Kingai ni waovu kuwazidi vibaka wa mitaani, lakini wamejificha kwenye sare za Polisi.
Usituchanganye polisi wote labda hao ndio wale watu wasiojulikana ndani ya nchi wenye zana za kila aina,tupo polisi katu hatumuonei mtu na wengine tunaowakamata huwasamehe huku huku mitaani bila ya kufikishana mbali tena bila kuchukua nduaro aka senti tano,tupo polisi watenda wema wengi tu.Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne.
Cha ajabu uwezo wao waliouonyesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani.
Walichoweza , ni kuvunja rekodi ya Dunia kwa kumleta Shahidi MKOJOZI namba moja duniani akiwa kizimbani, na pia kumleta shahidi wakwanza kuwatetea washtakiwa.
Kwa kifupi, hii kesi Inajenga chuki kubwa sana dhidi ya polisi kwa matendo yao ya uonevu ya waziwazi yanayodhiirika wakiwa kizimbani. Polisi wabadilike, tunaishi nao
Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne.
Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani.
Walichoweza , ni kuvunja rekodi ya Dunia kwa kumleta Shahidi MKOJOZI namba moja duniani akiwa kizimbani, na pia kumleta shahidi wa kwanza kuwatetea washtakiwa.