Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurusha fedha ovyo sakafuni

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurusha fedha ovyo sakafuni

Nchi maskini, mawazo na fikra za kimaskini
Tuache wivu na mawazo ya kimaakini nembo ya taifa ndo ujinga gan so km ni nembo y taifa kwan wananchi sio nembo,nchi yenyewe nembo za taifa kibao
Tembo, twiga, bibi na bwana, Mwenge, Simba , ngao vyote nembo za taifa huu ni upuuzi na ujinga.
 
Pesa yenyewe iko km pumba za mchele ata ndege hali wala kuku labda kuchomea mikaa na matofali ndo kaz ya pumba za mchele
Huu ni umaskini bana taifa lina nembo nying ad zinachosha
Tembo,mwenge, fedha,bibi na bwana,Ngao,twiga, bunge, sanamu la askar posta, bendera ya taifa nk
 
Ni sahihi kukamatwa. Fedha ya taifa lolote lile ni alama muhimu ya taifa, ni sawa na kuchukua bendera ya taifa na kuitumia kudekia.

Tuheshimu mambo haya hayatuondolei uimara wetu.
 
Inaonekana watu wengi hawako tayari kufuata sheria. Walichofanya polisi ni kitu sahihi kisheria ila kuna mbuzi kibao hapa povu linawatoka. Inasikitisha sana.
 
Nchi maskini, mawazo na fikra za kimaskini
Tuache wivu na mawazo ya kimaakini nembo ya taifa ndo ujinga gan so km ni nembo y taifa kwan wananchi sio nembo,nchi yenyewe nembo za taifa kibao
Tembo, twiga, bibi na bwana, Mwenge, Simba , ngao vyote nembo za taifa huu ni upuuzi na ujinga.
Fanya kama walivyofanya wapumbavu wenzako kama hujanyea debe na wewe.
 
Huo muda wa kusumbuana na hawa watu / vitu petty wangetumia hata kulima nyanya huenda baada ya miezi kadhaa tungeongeza lishe...
 
Back
Top Bottom