The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata.
Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache.
Mwaka 2015 magaidi walivamia kituo cha Polisi Staki Shari nia yao ni kuiba siraha, wakaua watu 6.
Mwaka 2017 kituo cha polisi huko Kibiti kilivamiwa na magaidi wakafanikiwa kuua watu 2 na kuondoka na siraha.
Mwaka huo huo 2017 magaidi walivamia bank mbagala na kuua askari na kuondoka na siraha.
Mwaka 2016 magaidi kadhaa(mmoja wapo alikua mfanyakazi wa tanesco huko kidatu) walivamia kambi ya jeshi huko Morogoro wakiwa na nia ya kuiba siraha, waliuwawa kadhaa na wengine kukimbia, wote M.O yao ni ile ile.
Juzi gaidi Hamza ameendeleza M.O yao, kuvamia polisi na kuiba siraha na kwenda kuua askari wengine.
Jeshi la polisi mnashindwa nini kuwakamata hawa ama kuteketeza hili kikundi cha magaidi uchwara ambao M.O yao inajulikana, mnataka wabadili M.O yao kisha waendelee kutuletea shida?
Rais wenye nia njema tunawaomba polisi/intelligence agencies mpambane kuhakikisha hiki kikundi cha wahuni mnakiangamiza kabla hakijabadili mbinu na kua ngumu kukidhibiti.
Ahsante.