sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Kwa jinsi wanavyoshughulikia mambo na kuyapa uzito usio sawa, hii ni aibu na inatia mashaka sana.
kwa mfano, jinsi wanavyoliendesha suala la binti aliebakwa, je kama ingekua hakuna ushahidi hali ingekuaje?
Pia soma: Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
1. Kwanini wanaotuhumiwa wote wasitajwe?
2. Kwanini suala linachukua muda mrefu wakati liko wazi?
3. Kwanini suala hili limekua na "Kananchi wawe na subira na utulivu" Kwanini zimekua nyingi?
Kwa sasa kama binti bado yuko mikononi mwa polisi, ningekua familia ya binti, ningemchukua ndugu yangu, nisingetaka kusikia kingine kutoka kwa jeshi la polisi, zaidi wanajikoshatu.