Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za nchi na kukiuka katiba ya nchi ni jeshi la polisi.
Hiki chombo kikifuatiwa na usalama wa taifa ndio vyombo ambavyo sheria za nchi hii haziwahusu wao, na wala hawahusiki nazo ila wao ni wepesi kutaka wengine wafuate sheria na huwa wanajifanya wanasimamia sana sheria kwa wengine lakini wao wanavunja sheria sana kuanzia sheria za kiaraia ,sheria za jeshi la polisi na wanavunja sana katiba tena kwa makusudi na hawasikii hata waambiweje?