mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 511
- 1,110
Binafsi niliwahi kuajiriwa na Jeshi la Polisi mwaka 1999 baada ya kuingia Depo mwezi Juni 1998. Lakini baada ya kuona mambo hayaendi niliamua kuacha kazi ndani ya masaa 24 mwaka 2009.
Uombaji wa nafasi mlizotangaza tarehe 20 Machi ni kizungumkuti.Mtandao wenu(Polisi Portal)haufanyi kazi masaa 24.
Hivi Jeshi zima la Polisi mnakosaje IT walioenda Shule?mnataka vijana waombaje nafasi zenu mlizotangaza?
Kama kutuma maombi tu ni shida,kwa nini msiwaambie waombaji watume tu hata kwa Email?ndio maana niliacha kazi