mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 511
- 1,110
Nafurahi kukwambia ex-service member mwenzangu (japokuwa sikuwa taasis yako), wameajiri vijana wengi sana wenye elimu mbali mbali, na wana dedicated IT unit japokuwa imejikita zaid kwneye makosa ya uhalifu wa kimtandaoBinafsi niliwahi kuajiriwa na Jeshi la Polisi mwaka 1999 baada ya kuingia Depo mwezi Juni 1998. Lakini baada ya kuona mambo hayaendi niliamua kuacha kazi ndani ya masaa 24 mwaka 2009.
Uombaji wa nafasi mlizotangaza tarehe 20 Machi ni kizungumkuti.Mtandao wenu(Polisi Portal)haufanyi kazi masaa 24.
Hivi Jeshi zima la Polisi mnakosaje IT walioenda Shule?mnataka vijana waombaje nafasi zenu mlizotangaza?
Kama kutuma maombi tu ni shida,kwa nini msiwaambie waombaji watume tu hata kwa Email?ndio maana niliacha kazi
Hili lilikuwa pia ni wazo zuriNafurahi kukwambia ex-service member mwenzangu (japokuwa sikuwa taasis yako), wameajiri vijana wengi sana wenye elimu mbali mbali, na wana dedicated IT unit japokuwa imejikita zaid kwneye makosa ya uhalifu wa kimtandao
Ila sasa vijana wapo wamejaa tele, na unachozungumzia suala la kutuma maombi si lazima wafanye wao, wanaweza peleka vigezo utumish, kupitia ajira portal.
Yes njia ya barua za mikono ni very old school sana in this digital age, kwa wale walio apply mwaka jana walianapply kwa mfumo, wali upload document humo
Kinachohitajika
Sidhani kama kuna IT mwenye akili timamu aache kupiga pesa kitaa akaae polisi kusubiri rushwaBinafsi niliwahi kuajiriwa na Jeshi la Polisi mwaka 1999 baada ya kuingia Depo mwezi Juni 1998. Lakini baada ya kuona mambo hayaendi niliamua kuacha kazi ndani ya masaa 24 mwaka 2009.
Uombaji wa nafasi mlizotangaza tarehe 20 Machi ni kizungumkuti.Mtandao wenu(Polisi Portal)haufanyi kazi masaa 24.
Hivi Jeshi zima la Polisi mnakosaje IT walioenda Shule?mnataka vijana waombaje nafasi zenu mlizotangaza?
Kama kutuma maombi tu ni shida,kwa nini msiwaambie waombaji watume tu hata kwa Email?ndio maana niliacha kazi
Mimi ndugu yangu yoyote siwezi kumruhusu ajiunge na polisi bora awe bodabadawanafanya makusudi ili waweke watoto wao au ndugu zao
polisi wa mchongo wapo na wataendelea kuwepo Tz
Kwanini wasipeleke sekretariet ya ajira wao wakabaki na jukumu la ku-recruit?Nafurahi kukwambia ex-service member mwenzangu (japokuwa sikuwa taasis yako), wameajiri vijana wengi sana wenye elimu mbali mbali, na wana dedicated IT unit japokuwa imejikita zaid kwneye makosa ya uhalifu wa kimtandao
Ila sasa vijana wapo wamejaa tele, na unachozungumzia suala la kutuma maombi si lazima wafanye wao, wanaweza peleka vigezo utumish, kupitia ajira portal.
Yes njia ya barua za mikono ni very old school sana in this digital age, kwa wale walio apply mwaka jana walianapply kwa mfumo, wali upload document humo
Kinachohitajika
Sekretarieti ya ajira kupitisha vi memo ni issue ndio maana hata TRA walileta mizengwe ili wajitoe huko waajiri wao wenyewe plus kuja na mfumo wao binafsi ambao utaratibu wake wa uundaji ulikaa ki fisadi fisadi ila kwa kuwa hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu hakuna anayejaliKwanini wasipeleke sekretariet ya ajira wao wakabaki na jukumu la ku-recruit?
Unaingilia maisha mtu huna akili weweMimi ndugu yangu yoyote siwezi kumruhusu ajiunge na polisi bora awe bodabada
Vetting mjombaKwanini wasipeleke sekretariet ya ajira wao wakabaki na jukumu la ku-recruit?
Polisi wanafanya vetting gani zaidi ya kuchukua watoto wao na F4 fairule?Vetting mjomba
Utumishi hawana watu wa kufanya vetting wanaajiri kama wehu tu
Kuna taasisi kuajiriwa lazima vetting ifanyike ndio maana wameruhusiwa kuajiri wenyewe sio kupitia utumishi
Siwezi kuruhusu ndugu yangu aingie kwenye laana tupuUnaingilia maisha mtu huna akili wewe
Eti siwezi mruhusu
Maisha ya mtu mwingine hayahitaji ruksa ya yeyote
Kwamba TRA hakuna vimemo? polisi wanaajiri watoto wao tupu ndiyo vetting?Sekretarieti ya ajira kupitisha vi memo ni issue ndio maana hata TRA walileta mizengwe ili wajitoe huko waajiri wao wenyewe plus kuja na mfumo wao binafsi ambao utaratibu wake wa uundaji ulikaa ki fisadi fisadi ila kwa kuwa hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu hakuna anayejali
Sijui kama umenielewaKwamba TRA hakuna vimemo? polisi wanaajiri watoto wao tupu ndiyo vetting?
Basi sawaSijui kama umenielewa