Jeshi la Polisi Tanzania huenda likawa Jeshi namba 1 duniani kwa umahiri

Jeshi la Polisi Tanzania huenda likawa Jeshi namba 1 duniani kwa umahiri

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
1. Wakati wamarekani wamemteka Maduro kama kuku, jeshi la polisi Tanzania wiki chache zilizopita lilifanikiwa kumtia mbaroni mwanajeshi wa Marekani tena akiwa na silaha na Trump ameogopa kuongea chochote maana anajua nini kingempata.

2. Umahiri wa kamanda Mafwele na Afande Muliro. Hii combination Trump akiisikia anaogopa hata kutoka ikulu.

3. Shabaha, hawa polisi wanajua kuua raia ni balaa. Rejea mazoezi ya shabaha waliyofanya tarehe 29.

Mwisho: Wewe Trump Who are You pumbavu zako.
 
Marekani ile ni ligi nyingine kabisa ya wanaume sisi wavulana tukae kimya!, tena tufyate mkia mithili ya mbwa aliyedakwa anadokoa mayai akiwa anasubiri kipigo.
 
Marekani ile ni ligi nyingine kabisa ya wanaume sisi wavulana tukae kimya!, tena tufyate mkia mithili ya mbwa aliyedakwa anadokoa mayai akiwa anasubiri kipigo.
Polisi wa bibi samia wanadai wanamshikilia mwanajeshi wa us
 
Walimaanisha USA ya Arusha (Usa River) hamkuwaelewa
 
Back
Top Bottom