Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi

.Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) .

Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage na kuanzisha Operation Finale ya kumtorosha Adolf kutoka Agentina na kumleta Israel ili apate hukumu.

Kwenye Mahakama kuu ya Israel, Adolf alikiri kufanya hilo kosa but Utetezi wake mkuu ulikuwa ni
I was just doing my job, receiving orders from higher-ups...... I am not a bad person. I was just a cog in the machine !

Utetezi wa Adolf Eichmann ukawaibua wanafalsafa akiwemo Hannah Arendt.

Hannah alihoji kati Responsibility na Morality! Je Adolf ahukumiwe mpaka kufa?- Philosophical argument!

What if someone is pressured by the system ? - the case of Jecha
!

Hannah insisted that ; Evil doesn’t always come from bad people, it comes from good and Ordinary People who blindly follow orders , don’t question authority or fail to think morally - that is what makes it more dangerous!

Hivyo Utetezi wa I am Just doing my Job , I am just receiving orders ulikataliwa kwenye Nuremberg Trials kwamba following Orders , doing your job is not an excuse against Humanity and Morality .

Adolf akahukumiwa kunyongwa hadi kufa as a matter of Lesson Responsibility against Morality!

Ni wakati sasa wa Jeshi la Polisi Tanzania kupima maagizo ya wanasiasa against Morality:

kutoogopa mfumo kwa maagizo ambayo ni kinyume na Humanity ,

kwenye kutekeleza maagizo waangalie na madhara ya wanachokifanya :

aidha sio kila agizo ni la kutekeleza .

Je Jeshi la Polisi Tanzania litaishi kwenye Banality of Evil mpaka lini ;?

Maagizo kutoka juu haina excuse kwenye mahakama za Kimataifa, nashauri tuwe makini, yupo wapi JPM, leo SIRO akipandishwa kwenye mahakama za kimatifa….je atamtaja JPM ? IGPs wanapaswa kushitakiwa pia due to failure between Responsibility na Humanity

Mwisho, Mauaji ya Wazanzibar, Mauaji ya mwembechai, Mauaji ya Ben Sanane, Mauaji ya Alikibao, Shambulio la Mwenyekiti Tundu, Uhaini wa Tundu, Ugaidi wa Mstaafu Mbowe...... yote haya yanaingia kwenye Banality of Evil na hukumu yake ni sawa na huku ya Adolf Eichmann bila ya excuse

Aione: IGP

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
 
Attachments

  • IMG_4887.jpeg
    IMG_4887.jpeg
    512.9 KB · Views: 24

Unatafsiri vipi "Ukarimu wa Uovu" kuwa "Banality of Evil".

Sijaelewa hapo.
 
ni Uovu unaotendwa si kwa sababu mtu ni Mkatili Bali ni sehemu ya kazi au amoena ni Kawaida kutokana na mfumo mbaya
 
What if someone is pressured by the system ? - the case of Jecha!

Nadhani dawa ni hukumu ya kuwanyonga hadi kufa!!
Swali ni je, tuna mifumo ya kufanya hivyo??
 
ni Uovu unaotendwa si kwa sababu mtu ni Mkatili Bali ni sehemu ya kazi au amoena ni Kawaida kutokana na mfumo mbaya
Sawa. Lakini kufanya uovu kama sehemu ya kazi si ukarimu wa uovu.

Unaweza kusema ni uovu wa kimfumo.

Unaweza kusema ni uovu uliosheheni.

Unawwza kusema ni uovu uliozoeleka.

Unaweza kusema ni uovu uliokubalika.

Lakini si ukarimu wa uovu. Uovu hauna ukarimu, labda kama unamaanisha "toxic positivity" kuwa ndiyo uovu wa ukarimu, na hiki ni kitu tofauti kabisa.
 
Sure thing , might not be official translation
 
MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi

.Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) .

Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage na kuanzisha Operation Finale ya kumtorosha Adolf kutoka Agentina na kumleta Israel ili apate hukumu.

Kwenye Mahakama kuu ya Israel, Adolf alikiri kufanya hilo kosa but Utetezi wake mkuu ulikuwa ni
I was just doing my job, receiving orders from higher-ups...... I am not a bad person. I was just a cog in the machine !

Utetezi wa Adolf Eichmann ukawaibua wanafalsafa akiwemo Hannah Arendt.

Hannah alihoji kati Responsibility na Morality! Je Adolf ahukumiwe mpaka kufa?- Philosophical argument!

What if someone is pressured by the system ? - the case of Jecha!

Hannah insisted that ; Evil doesn’t always come from bad people, it comes from good and Ordinary People who blindly follow orders , don’t question authority or fail to think morally - that is what makes it more dangerous!

Hivyo Utetezi wa I am Just doing my Job , I am just receiving orders ulikataliwa kwenye Nuremberg Trials kwamba following Orders , doing your job is not an excuse against Humanity and Morality .

Adolf akahukumiwa kunyongwa hadi kufa as a matter of Lesson Responsibility against Morality!

Ni wakati sasa wa Jeshi la Polisi Tanzania kupima maagizo ya wanasiasa against Morality:

kutoogopa mfumo kwa maagizo ambayo ni kinyume na Humanity ,

kwenye kutekeleza maagizo waangalie na madhara ya wanachokifanya :

aidha sio kila agizo ni la kutekeleza .

Je Jeshi la Polisi Tanzania litaishi kwenye Banality of Evil mpaka lini ;?

Maagizo kutoka juu haina excuse kwenye mahakama za Kimataifa, nashauri tuwe makini, yupo wapi JPM, leo SIRO akipandishwa kwenye mahakama za kimatifa….je atamtaja JPM ? IGPs wanapaswa kushitakiwa pia due to failure between Responsibility na Humanity

Mwisho, Mauaji ya Wazanzibar, Mauaji ya mwembechai, Mauaji ya Ben Sanane, Mauaji ya Alikibao, Shambulio la Mwenyekiti Tundu, Uhaini wa Tundu, Ugaidi wa Mstaafu Mbowe...... yote haya yanaingia kwenye Banality of Evil na hukumu yake ni sawa na huku ya Adolf Eichmann bila ya excuse

Aione: IGP

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Watu waliopata Div. IV ya point 32 hawawezi kukuelewa.
 
Back
Top Bottom