Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...

Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..

index.jpeg

===========================================
UPDATES

Tanzania yakanusha kuwakamata usalama wa taifa wa Kenya
 
Kwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.

As long as they are not threatening our security, then let them GO.

Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Unaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya security kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kitu
 
Kwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.

As long as they are not threatening our security, then let them GO.

Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Hakuna kifo kibaya kama ukikamatwa ukifanya Ujasusi nchi nyingine haijalisha uliingia vipi.
 
Unaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya [colir=red]secirity[/color]kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kitu

Naweza nikawa zuzu, ila wewe ndiye Mwalimu wangu katika uzuzu.

Kwanza kajifunze jinsi ya kuandika ndipo uje kuni-quote.

Jifunze kuandika kisha uje useme juu ya maswala haya.

Punguani Waheed.
 
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...

Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..

View attachment 635615
Hawa wakenya mbona wananaswa sana tz??
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
mkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?
 
Hakuna hiyo kitu ndio maana Chadema waliiomba Serikali walete wachunguzi binafsi ndio sharia za kimataifa zinataka hivyo. Mfano hata nyumbani kwako mgeni/Jirani hawezi kuingia ndani kuchukua mizigo yake bila idhini yako.
 
mkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?
Hujui kuwa taasisi za Kijasusi za nchi moja na nyingine, huweza kushirikiana katika baadhi ya mambo?
 
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...

Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..

View attachment 635615
Kenya Intelleigence yao hamna kitu pale..maneno mengi. tukio la westgate liliwaacha uchi..Safi sana TISS, Wasije wakamdhuru Raila ndani ya Ardhi yetu wakatuletea matatizo..
 
mkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?
Mkuu acha ku argue na watu wavivu wakufikiria lkn wanaojifanya wajuzi wa mambo, ukishaitwa jasusi wee ni mhalifu tena unaetakiwa kufa hakunaga mjadala kwenye hilo
 
Hujui kuwa taasisi za Kijasusi za nchi moja na nyingine, huweza kushirikiana katika baadhi ya mambo?
Raila akifanyiwa ubaya kama kweli yuko huko zenji implications yake itakuwaje? Taswira ya nchi yetu itaonekanaje Kenya na ulimwenguni kwa ujumla?

Wanaahirikiana ku trail wahalifu eg magaidi, drug dealers, human traffickers... Ila sio kwa design hii ya Raila.

Security ina nyanja pana! Hasa hizi za kuhusisha siasa za kimataifa! Unaweza kutupiwa zigo la lawama hivi hivi!
 
tuwe macho na raia wa kigeni ambao wanaingia nchini mwetu bila vibali, tuwafichue haraka wasije tuharibia amani yetu.
 
Kwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.

As long as they are not threatening our security, then let them GO.

Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Uelewa wako wa masuala ya intelijensia na sheria za kimataifa ni mdogo sana hadi nakuonea huruma....
 
Back
Top Bottom