Mkuu umepotoka.Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Hilo jambo haliruhusiwi popote duniani,tuna mkataba na kenya wa kubadilishana watuhumiwa,hatuwezi kukubali nchi yetu kufanywa kuwa ni kichaka cha ujasusi,Raila amekuja kwa ziara binafsi,atalipa hoteli yeye na wasaidizi wake kwa nini watuharibie biashara zetu?