Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

..lakini serekali ya Kenya would rather have Raila dead.

..kwa hiyo akifia huku Tanzania serekali ya Kenya watapumua.
I don't know what you're talking about!

Wakenya wafanye yao huko Kenya na wakenya wenzao!
 
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...

Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..

View attachment 635615

Duh haya nayo mkuu ni Maajabu. Wasojuljkana toka Kenya wanaweza kukamatwa lakini wasiojulikana wa humu humu Tanzania imeshindikana kuwakamata.
 
Naweza nikawa zuzu, ila wewe ndiye Mwalimu wangu katika uzuzu.

Kwanza kajifunze jinsi ya kuandika ndipo uje kuni-quote.

Jifunze kuandika kisha uje useme juu ya maswala haya.

Punguani Waheed.
Hehehe mtu na mwl wake. Sijui nani anamjua zaidi mwenzake Mwalimu au mwanafunzi?
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Kama umefuata utaratibu kwanini wakamatwe? Hii ina maana unafanyq ujasusi hapa nchini. Ipo adhabu
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Iliwapasa watoe maarifa kwa mamlaka wapewe kibali. Siyo hovyo hovyo tu.
 
Sio lazima uchangie, wewe soma post za wenzio utaelimika!!
Kachangia nini wakati kauliza swali?

Ungemjibu kama hapa chini ungepungukiwa nini?

Wana usalama mna mambo
Unaruhusiwa ila askari wana taratibu zao za clearance za kusafiri .Nchi husika hutakiwa kutaarifiwa kiofisi kuwa kuna askari anaingia kwao nk Kila askari kusafiri lazima katika masharti mmojawapo hutakiwa kuwa na kitu kinaitwa movement order ambayo huwa lazima aionyeshe mamlaka husika
 
Raila akifanyiwa ubaya kama kweli yuko huko zenji implications yake itakuwaje? Taswira ya nchi yetu itaonekanaje Kenya na ulimwenguni kwa ujumla?

Wanaahirikiana ku trail wahalifu eg magaidi, drug dealers, human traffickers... Ila sio kwa design hii ya Raila.

Security ina nyanja pana! Hasa hizi za kuhusisha siasa za kimataifa! Unaweza kutupiwa zigo la lawama hivi hivi!
Na usijekuta Raila akipata tatizo akiwa nchini wa kwanza kalaumu ni haohao serikali ya Kenya.
 
Propaganda za watu wa NASA hizo,

yaani watu 6 wa intelligence unawakamataje kama mbuzi,?

Wale wanakuwa na deepcover agents already inside ,kila ubalozi wa nchi huwa una kitengo cha intelligence,hawawezi kutuma mtu moja kwa moja toka nairobi badala ya kutumia watu wao walioko huku,
unless labda ilikuwa ni killteam,
kitu ambacho hakiwezekani kwani uhuru hana hiyo akili ya kummaliza odinga.
So kama ni surveillance tu ya kutaka kujua anakutana na nani na anafanya nini,hawawezi tuma lundo la watu tena directly kutoka nai
Kwani hao deep covers agents toka ndani ya balozi huwa wanagundulika sometimes ndio maana hata nchi inaweza kumtimua afisa wa ubalozi, balozi mwenyewe au hata kuufunga ubalozi endapo Itabainika unajihusisha na shughuri za kajasusi.
 
..Tundu Lissu kacharangwa risasi mchana kweupe, tena katikati ya nchi ambako ni salama zaidi, na taswira ya nchi imeendelea kuwa nzuri Kenya na ulimwenguni kwa ujumla.

..Binafsi sioni faida ya kuthamini usalama wa Raila Odinga kuliko wa wananchi na walipa kodi wa Tz.
Mixed grill.
 
Mkuu umepotoka.
Hilo jambo haliruhusiwi popote duniani,tuna mkataba na kenya wa kubadilishana watuhumiwa,hatuwezi kukubali nchi yetu kufanywa kuwa ni kichaka cha ujasusi,Raila amekuja kwa ziara binafsi,atalipa hoteli yeye na wasaidizi wake kwa nini watuharibie biashara zetu?
Tatizo wengi hawajui tofauti ya utendaji ktk duru za kiusalama wa kidiplomasia baina ya mataifa kati ya upelelezi wa kihalifu kupitia vyombo kama Interpol nk na hiki tunachojadili hapa yaani ujasusi.
 
Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...

Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..

View attachment 635615
Tumeanza Kukamata Vifaranga tukapiga Moto Vyote

Tumekamata Ngo'mbe Tukawapiga Bei Wote

Sasa Hivi Tumekamata KSC ..Adhabu Gani Sijui tuwape!!

Mwisho Tunamkamata Odinga Tunamaliza Game.
 
Back
Top Bottom