Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Unaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya security kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kituKwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.
As long as they are not threatening our security, then let them GO.
Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Hakuna kifo kibaya kama ukikamatwa ukifanya Ujasusi nchi nyingine haijalisha uliingia vipi.Kwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.
As long as they are not threatening our security, then let them GO.
Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Unaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya [colir=red]secirity[/color]kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kitu
Hawa wakenya mbona wananaswa sana tz??Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...
Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..
View attachment 635615
Ujasusi wa aina gani?Hakuna kifo kibaya kama ukikamatwa ukifanya Ujasusi nchi nyingine haijalisha uliingia vipi.
mkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?Ujasusi wa aina gani?
Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.
Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Hakuna hiyo kitu ndio maana Chadema waliiomba Serikali walete wachunguzi binafsi ndio sharia za kimataifa zinataka hivyo. Mfano hata nyumbani kwako mgeni/Jirani hawezi kuingia ndani kuchukua mizigo yake bila idhini yako.Ujasusi wa aina gani?
Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.
Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Hujui kuwa taasisi za Kijasusi za nchi moja na nyingine, huweza kushirikiana katika baadhi ya mambo?mkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?
Kenya Intelleigence yao hamna kitu pale..maneno mengi. tukio la westgate liliwaacha uchi..Safi sana TISS, Wasije wakamdhuru Raila ndani ya Ardhi yetu wakatuletea matatizo..Kuna hizi taarifa kuwa maafisa wa usalama kutoka nchini Kenya wamenaswa huko visiwani Zanzibar kwa madai walikuwa wanamfuatilia Raila Odinga ambaye inasemekana yupo huko kwa siri...
Mwenye uthibitisho wa taarifa zaidi anaweza kutupatia..
View attachment 635615
Mkuu acha ku argue na watu wavivu wakufikiria lkn wanaojifanya wajuzi wa mambo, ukishaitwa jasusi wee ni mhalifu tena unaetakiwa kufa hakunaga mjadala kwenye hilomkuu una maana gani unaposema kifuata taratibu? Hawa ni secret agents hata kazi zao huzifanya kwa siri, unataka wapitie kwa mtendaji wa mtaa?
Ujasusi ni niniHujui kuwa taasisi za Kijasusi za nchi moja na nyingine, huweza kushirikiana katika baadhi ya mambo?
Raila akifanyiwa ubaya kama kweli yuko huko zenji implications yake itakuwaje? Taswira ya nchi yetu itaonekanaje Kenya na ulimwenguni kwa ujumla?Hujui kuwa taasisi za Kijasusi za nchi moja na nyingine, huweza kushirikiana katika baadhi ya mambo?
Uelewa wako wa masuala ya intelijensia na sheria za kimataifa ni mdogo sana hadi nakuonea huruma....Kwa nini wakamatwe kama wanamfatilia Kiongozi wa nchi yao? Kama wameingia kinyemela, basi washughulikiwe. Lakini kama walifata utaratibu na sasa wanakamilisha majukumu yako, sioni tatizo lolote.
As long as they are not threatening our security, then let them GO.
Au kwa sababu Raila ni Swahiba wa Mkulu?
Karai hilo achana nalo.Unaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya secirity kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kitu