Mkuu ukiambiwa ukatoe ushahidi usiotia shaka kuhusu tuhuma hizo utazithibitisha, au unaendeshwa na roho ya chuki tu?Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Semeni sasa ni yapJeshi la Polisi linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijanai anayotuhumiwa nayo.
#NidhamuHakiWeledinaUadilifuMsingiwaMafanikioYetu
Jeshi limemalizia kwa mipasho mwishoni
Watayapata baadayeSemeni sasa ni yap
Ona huyu!!Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Habari za jioniHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
WANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
ulikuwa nao? au uliwaona ndotoniHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR