zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Nextnalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nextnalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
madudu wanayofanya upinzani awamu hii yatawatokea puaniSerikali imeamua kama n mbwai na iwe mbwai 😂
Hivi binaadam unapokuwa na hali ya namna hii, nawe bado unajiona ni mtu mwenye akili timamu? Hii inakusaidia kitu gani, wewe kama wewe!Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Inapikwa kesi ya ugaidi na uahiniSerikali imeamua kama n mbwai na iwe mbwai 😂
Kwa watu wasipo heshimu utu wa wenzaoAlubadiru inafukuta
Huwezi jua huenda yeye pia alishiriki kwenye kumkamataHivi binaadam unapokuwa na hali ya namna hii, nawe bado unajiona ni mtu mwenye akili timamu? Hii inakusaidia kitu gani, wewe kama wewe!
Taarifa kama hii inakufanya ujisikie vizuri, na kujivunia mchango ulio kifanyia chama chako na viongozi wako?
Ndio hivyo hivyo mkuuKwa watu wasipo heshimu utu wa wenzao
Ngoja tuoneInapikwa kesi ya ugaidi na uahini
Nextmadudu wanayofanya upinzani awamu hii yatawatokea puani
Ndio ushaanza kuonaNgoja tuone
NextPolice na hao Maaskofu wachochezi vip.?,kauli zao zimesikika...chukueni na hao.
Basi figisu hizo watakuwa wenyewe chadema,uchaguzi wa ndani wa chadema CCM unawahusu vipi we bavicha.Siitaki sana niseme kitu hapaa ,lkn angetuambia anatuhumiwa kwa makosa gani ya Jinai ,ili tujue ,pili watanzania tusiwe na chuki zidi ya watu
mimi nimefikiria uchaguzi wa kanda ya pwani unatarajiwa kufanyika ivi karibuni na usahili unaendelea hivyo ni mbinu za kumfanya asihudhurie uchaguzi maana nasikia ni mgombea
Andiko lako linasadifu uhusika wako kwenye haya madhila ya utekaji na mauaji ya raia.Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
mpaka pale vijidrama vyote vidhibitiweNext
NextSiitaki sana niseme kitu hapaa ,lkn angetuambia anatuhumiwa kwa makosa gani ya Jinai ,ili tujue ,pili watanzania tusiwe na chuki zidi ya watu
mimi nimefikiria uchaguzi wa kanda ya pwani unatarajiwa kufanyika ivi karibuni na usahili unaendelea hivyo ni mbinu za kumfanya asihudhurie uchaguzi maana nasikia ni mgombea