THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
INGEPENDEZA SANA NA WALE MAASKOFU WAKACHUKULIWA,KIMBELE MBELE SANA WALE MAASKOFU.Next
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
INGEPENDEZA SANA NA WALE MAASKOFU WAKACHUKULIWA,KIMBELE MBELE SANA WALE MAASKOFU.Next
Mkuu ukiambiwa ukatoe ushahidi usiotia shaka kuhusu tuhuma hizo utazithibitisha, au unaendeshwa na roho ya chuki tu?
Sawa,ila Mkuu na wale MAASKOFU wangechukuliwa wakatoe ushirikiano.Atoe ushirikiano jeshi la polisi ni sehemu salama tu!
Big kadakwa kwa mbinde na nguo wanasema kachaniwa....kazi anayo...wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo BoniyaiNaona sasa akili zime anza kuwarudia.
Inge kuwa juzi wange sema hako nae.
Ila jinsi walivyo mkamata hadi kumchania nguo bado sio taratibu za ukamataji
Big kashindwa kuwapunch police na mwili woote ule?Big kadakwa kwa mbinde na nguo wanasema kachaniwa....kazi anayo...wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo Boniyai
Kaka utajiriSiitaki sana niseme kitu hapaa ,lkn angetuambia anatuhumiwa kwa makosa gani ya Jinai ,ili tujue ,pili watanzania tusiwe na chuki zidi ya watu
mimi nimefikiria uchaguzi wa kanda ya pwani unatarajiwa kufanyika ivi karibuni na usahili unaendelea hivyo ni mbinu za kumfanya asihudhurie uchaguzi maana nasikia ni mgombea
Kabisa na hakiwa mbishi wataminya kendeAtoe ushirikiano jeshi la polisi ni sehemu salama tu!
ExactlyChadema walishaanza kutembea na Kick eti katekwaaa....chadema walivyo mafala hapo wamemind sana,Yani hapo chadema furaha YAO ilikuwa Boni yai apotee mazima ili wapate mtaji wa kisiasa na Maaskofu wao .
Kuna siku alisema atapambana nao Kung Fu Sasa ngoja waka mfunzeBig kashindwa kuwapunch police na mwili woote ule?
Sasa anafuga mwili Mkubwa kama nguruwe kama ule wa kazi Gani.?
Bado na wengine!View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Boniface aachiwe mara moja, watu tumechoka na unyanyasaji kwa wanasiasa hapa Tanzania.View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Ha ha ha 😂Kuna siku alisema atapambana nao Kung Fu Sasa ngoja waka mfunze
Urushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayoBig kashindwa kuwapunch police na mwili woote ule?
Sasa anafuga mwili Mkubwa kama nguruwe kama ule wa kazi Gani.?
Nenda kashitaki kwa Maaskofu au nenda kituoni kamwekee dhamana.Boniface aachiwe mara moja, watu tumechoka na unyanyasaji kwa wanasiasa hapa Tanzania.