Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Next? Pambalu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha ili jambo au unaenda na upepoHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Sawa mzee wa makhuluku tabu 🤣Umeshalawitiwa wewe
Ukamataji wa kishamba, walitakiwa kumpatia wito afike Polisi kisha taratibu zingine zifuate.
Kumvamia mtu njiani kama vile ni jambazi sugu hatari muuaji aliyekuwa anakwepa mitego ya polisi mara kadhaa kumkamata kwa staili hii ni njia isiyo sahihi.
Wakili msomi Hekima Mwasipu asimulia jambo zima lilivyotokea, taharuki mtaani iliyoendana na kurupushani kubwa ... kituo Oysterbay kwa RCO wataelejea Msakuzi makaazi ya Bonuface Jacob kufanya upekuzi ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=TPyNi-GCCpA
Makhuluku tabu tabuni 🤣Safi sana, wazushi hawatakosa kuzusha lingine.
Tukutane mahakamaniUnaweza kuthibitisha ili jambo au unaenda na upepo
Mahakamani ukutane na nani wewe kidampa tuTukutane mahakamani
USSR
Makhuluku tabu tabuni 🤣WANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Unaelewa Maana ya jinai,jinai nyingi zina shamana kasoro chache kama uhujumu uchumi,mauaji na ugaidiAisee kumbe alikuwa anamakosa ya jinai.? Kwaiyo hapo hakuna hata kumtoa kwa dhamana.?
Mzee mbona unahangaika sana umelipwa shilingi ngapi maana Kila comment ya mtu unaijibuMakhuluku tabu tabuni 🤣
Makhuluku tabu tabuni...Aisee kumbe alikuwa anamakosa ya jinai.? Kwaiyo hapo hakuna hata kumtoa kwa dhamana.?
Bado mdude,maranya maseseUrushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo
Atashikiliwa mok Sept 23 ipiteView attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
ccmHabari za jioni
Aliyekwambia makosa ya jinai hayana dhamana ni nani?Aisee kumbe alikuwa anamakosa ya jinai.? Kwaiyo hapo hakuna hata kumtoa kwa dhamana.?
Hili suala asubuhi nilikuwa namwambia mtu mmoja , kati ya strategy watakazotumia policcm kuelekea siku ya maandamano ni kukamata viongozi au wale watu maarufu kwenye chama na kweli imekuwa hivyo.NATABIRI
Ataachiwa tarehe 25 baada ya maandamano kuisha.
Next? MMM
Ha ha ha