Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Leo mnakosa la kufanya nyie ,mlisema wanateka hawasemi wamesema mnataka wamuite

USSR
 
Hii Ni Baada Ya Rais Kusema Mjitambulishe Msikamate Watu Tu Kama Kule Mwanza
 
Aisee kumbe alikuwa anamakosa ya jinai.? Kwaiyo hapo hakuna hata kumtoa kwa dhamana.?
Unaelewa Maana ya jinai,jinai nyingi zina shamana kasoro chache kama uhujumu uchumi,mauaji na ugaidi
 
Urushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo
Bado mdude,maranya masese
 
Atashikiliwa mok Sept 23 ipite
 
NATABIRI

Ataachiwa tarehe 25 baada ya maandamano kuisha.

Next? MMM
Hili suala asubuhi nilikuwa namwambia mtu mmoja , kati ya strategy watakazotumia policcm kuelekea siku ya maandamano ni kukamata viongozi au wale watu maarufu kwenye chama na kweli imekuwa hivyo.

Naona watamfuata na Martin soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…