Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

WANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Huyu alipashwa kukamatwa siku nyingi tu kwa propaganda anazofanya mitandaoni bado wawili nafikiri nao watakamatwa tu kama wataendelea na propaganda zao mitandaoni.
 
Chuki wameanza wenyewe Rais Samia aliwatret kama watu wa maana ila wanamlipa ujinga


USSR
Kwa hiyo kwa kufanya hivyo, ndio sababu ya kuwahusisha na tuhuma nzito za kumuuwa Mzee Kibao, kama ulivyodai?

Kuwa na roho ya utu, sote hatuijui kesho yetu,

Unawatuhumu Mnyika na Bon bila ushahidi wowote,

Ok, furahia, Bon kakamatwa Leo Mnyika nae atakamatwa muda sio mrefu,

Lakini Serikali inawajua wauaji by Mzee Butiku,
 
Wauaji ni Chadema na wameanza kukamatwa!
 
Ifike wakati watu wa ukanda wa pwani wasipewe kiti kikuu si kwa taarabu zile na mipasho jana na kutetea watoto watukutu.
Kamuulize Bon Yai leo amekipata na kama bado anafikiri ni mipasho ya taarabu!!?
 
Na wewe unafikiri kwanini wameandika hiyo barua kwa watu kama nani??
Nenda Polisi ukamsaidie ndugu yako Bon Yai acha blabla za mitandaoni au hata TZ haupo ila maneno mengiii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…