Dr Ndlozi
Senior Member
- Sep 17, 2024
- 110
- 140
BJ ana tapeli watu mayai kishaeanawatishiaHa ha 😂 😂
Mkuu kumbuka nawewe utakufa,tuwe na akiba ya maneno kwa wenzetu waliotangulia MBELE ya haki.
Tanzania ina intelijensia kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BJ ana tapeli watu mayai kishaeanawatishiaHa ha 😂 😂
Mkuu kumbuka nawewe utakufa,tuwe na akiba ya maneno kwa wenzetu waliotangulia MBELE ya haki.
Huyu alipashwa kukamatwa siku nyingi tu kwa propaganda anazofanya mitandaoni bado wawili nafikiri nao watakamatwa tu kama wataendelea na propaganda zao mitandaoni.WANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Yepi ambayo mapya?madudu wanayofanya upinzani awamu hii yatawatokea puani
Mwenzako kakamatwa bado wewe akili kubwa!Naona akili ndogo na chawa wenye upeo mdogo wanashangilia.....ngoja Dude LIJITIKISE
Kwa hiyo kwa kufanya hivyo, ndio sababu ya kuwahusisha na tuhuma nzito za kumuuwa Mzee Kibao, kama ulivyodai?Chuki wameanza wenyewe Rais Samia aliwatret kama watu wa maana ila wanamlipa ujinga
USSR
Baada ya hotuba ya mama jana alitaka leo kukimbia
Wauaji ni Chadema na wameanza kukamatwa!Kwa hiyo kwa kufanya hivyo, ndio sababu ya kuwahusisha na tuhuma nzito za kumuuwa Mzee Kibao, kama ulivyodai?
Kuwa na roho ya utu, sote hatuijui kesho yetu,
Unawatuhumu Mnyika na Bon bila ushahidi wowote,
Ok, furahia, Bon kakamatwa Leo Mnyika nae atakamatwa muda sio mrefu,
Lakini Serikali inawajua wauaji by Mzee Butiku,
Huyu ni kiazi humu hanaga la maanaMwenzako kakamatwa bado wewe akili kubwa!
Kweli ngoja waanza kukipata cha moto.Wizoea vibaya walimuona Rais Samia kama Mbowe tu hawakujua maskini ya Mungu bado Martin,Sativa,Mdude na genge lao
USSR
Ndio division IV wanazochukua.Jeshi limemalizia kwa mipasho mwishoni
Wakwambie wewe kama nani utajua wakifikishwa mahakamani.Ndio division IV wanazochukua.
Hawasemi hata makosa yenyewe ni yapi!
Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea, kilichobaki ni utekelezaji tu!!Ndio division IV wanazochukua.
Hawasemi hata makosa yenyewe ni yapi!
Utekelezaji wa nini?Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea, kilichobaki ni utekelezaji tu!!
Na wewe unafikiri kwanini wameandika hiyo barua kwa umma ili iweje?Wakwambie wewe kama nani
Waliomuua mzee Kibao wanafikishwa lini mahakamani.?utajua wakifikishwa mahakamani.
Kamuulize Bon Yai leo amekipata na kama bado anafikiri ni mipasho ya taarabu!!?Ifike wakati watu wa ukanda wa pwani wasipewe kiti kikuu si kwa taarabu zile na mipasho jana na kutetea watoto watukutu.
Nenda Polisi ukamsaidie ndugu yako Bon Yai acha blabla za mitandaoni au hata TZ haupo ila maneno mengiii!!Na wewe unafikiri kwanini wameandika hiyo barua kwa watu kama nani??
Wewe itakua umeshalawitiwa sio bureChadema wanachama wao sometimes wanawachafua sana kama chama.
Sasa just imagine mtu mwehu kama mdude wao kwao ni mwanaharakati.