Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee Slaa ni mnafiki sana. Huu ni umri wa yeye kucheza na wajukuu. Siasa za Tanzania siyo SIZE yake
Slaah ameyataka mwenyewe,ukitoa hoja katika vyombo vya habari, kuwa hogo ya ya mabilioni yametolewa na fulani kwenda kwa fulani,ili kuhujumu uchaguzi wa chama fulani.
Na ukaongezea kuwa hizo habari kaambiwa na mtu aliye kwenye kitengo yaani usalama wa taifa,unadhani polisi italichukulia poa?

Mwache aisaidie polisi kwa uchunguzi.
 
Saf. Huu ndiyo utawala wa sheria. Aeleze polisi zile tuhuma zake kwa ushahidi ili Jeshi letu la Polisi lichukue hatua. Tunataka ushahidi🙏🙏🙏
 
Yaani unamkata then ndio unatafuta sheria inakuambia nini?Sema mnasubiri maelekezo what next
 
Tàtizo àkili yako inafikiri kila mtu mzee àmezaliwa kucheza na wajukuu. Hayo ni ya ukoo wenu acha Dr. Slaa acheze na haki za raia siyo acheze na wajukuu.
Huyo bazazi kachukua mke wa mtu Mshumbushi kaenda naye Canada. Uchawa wake ulipoisha na Magufuli alipokufa na mkataba wa ubalozi ulipokoma, mwanamke kakataa kurudi Tanzania.

Hapo ana FRUSTRATIONS za kuachika, kukosa kazi na kuishi kama msela
 
Tàtizo àkili yako inafikiri kila mtu mzee àmezaliwa kucheza na wajukuu. Hayo ni ya ukoo wenu acha Dr. Slaa acheze na haki za raia siyo acheze na wajukuu.
Kwaiyo uyo mzee ndio kajitolea kwenye haki!! Uyu mzee sio uyu alifukuzwa kwenye upadri kwa visa vya mbunye bado aikutosha akaja kubuluzwa tena mahakamani ya kiraia kwa kuchukua mke wa mtu na kuishi naye kama mkewe!!!!au sio DK Slaa uyu. Nikisema DK wa mbunye nitakosea ndugu zangu.!!
 
Tatizo la Serikali linakamata mtu halafu halichukuwi hatua thabiti ya kumshtaki na kuhakikisha Sheria kweli inachukua mkondo. Mwisho wa siku kesi inafutwa au anashinda kesi. Inatakiwa mtu kama Dk. Slaa makosa yake yathibitishwe na AFUNGWE ikiwezekana ili kupunguza uropokaji!
 
Nchi ina sanaa nyingi sana kwa mazingira haya hata mkiweka dira ya maendeleo ya miaka 1000 mbele mtaendelea kuwa hivi hivi hakuna kitu cha maendeleo mnakipa kipaumbele kwenu zaidi ya mambo ya kijinga jinga tu yaliyowadumaza Ubongo..
Inawesekana wakati Tanganyika inapata Uhuru ilikuwa na maendeleo kuliko sasa!
 
Mbowe achia uenyekiti nchi yetu irudi Kama wakati wa Rais Kikwete. Tulikuwa tunafanya uchaguzi Kwa raha.
 
Kwa nini wasijipange kwanza ndio wamkamate?
Na je, walimuita kwa njia ya kawaida akakaidi kwenda?.
Jamani polisi badilikeni.
si huwa mnaenda nchi za wenzenu kujifunza?
Huwa mnajifunza kweli?Au kuharibu fedha zetu.
Div IV ya point 32 atajifunza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…