Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vitisho vya kuifuta chadema umenikumbusha enzi ya msajili wa vyama vya siasa Bwana John tendwa na kauli zakeErythrocyte nashauri mwenyekiti atolee tamko kuhusu ujinga huu. Hii ni kuwapaka mavi chadema. Msinyamaze lipiet . Ni mbinu za kuiangamiza chadema. Kitakachofuata ni kuifuta na msajiri
Misime hajitambui ni aibu kubwa kamanda kama huyo kuwatisha wananchiHivi huyo misime huwa ana akili kweli?
Wazee wa PGO na Div. IV ya point 32 katika ubora wao.Mimi nadhani intelijensia yao ingewabaini kwanza watekaji wote kabla ya kuhamia kwa Chadema! Na hivyo vituo vinavamiwa kwa kutumia silaha gani?
Polisi waache vitisho kwa wananchi...kwani kuwatisha hivyo ndio kunaamsha hasira kali na kupelekea kuvamia vituo hivo ambavyo vingi askari wake wana afya mbovu kutokana mshahara kiduchu unaotokana na utawala wa ccm
Kweli kabisaHizi ndiyo siasa za Tanzania alizotuachia Mtakatifu wenu Nyerere yaani watu wapo kimajungu tu, lakini ipo siku wanayoyaombea watayapata
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.
Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.
Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616
Polisi na CCM yao sijui wanajionaga wao ni nani!Tangazo lipo humu
View attachment 3082667
Ccm ni dini mungu wake alikuwa MAGUFULI leo ccm inaongozwa na malkia ujinga ni ule ule unaendelea wa kuteka na kupoteza ambaye mwasisi wake ni Magufuli wa chatoShujaa Magufuli wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😄
Wakati utafika hata hao walioshika mipini wataachia siraha zao na kukimbia let's waitTAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.
Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.
Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616
Form four failure unategemea nini hapoHivi huyo misime huwa ana akili kweli?