Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nadhani intelijensia yao ingewabaini kwanza watekaji wote kabla ya kuhamia kwa Chadema! Na hivyo vituo vinavamiwa kwa kutumia silaha gani?
 
Erythrocyte nashauri mwenyekiti atolee tamko kuhusu ujinga huu. Hii ni kuwapaka mavi chadema. Msinyamaze lipiet . Ni mbinu za kuiangamiza chadema. Kitakachofuata ni kuifuta na msajiri
Hivi vitisho vya kuifuta chadema umenikumbusha enzi ya msajili wa vyama vya siasa Bwana John tendwa na kauli zake

Huku magazeti yakimnukuu kwa vichwa vya habari vya
"Tendwa sasa aandaa kalamu nyekundu...ni kuhusu chadema"
 
Mimi nadhani intelijensia yao ingewabaini kwanza watekaji wote kabla ya kuhamia kwa Chadema! Na hivyo vituo vinavamiwa kwa kutumia silaha gani?
Wazee wa PGO na Div. IV ya point 32 katika ubora wao.
 
Polisi waache vitisho kwa wananchi...kwani kuwatisha hivyo ndio kunaamsha hasira kali na kupelekea kuvamia vituo hivo ambavyo vingi askari wake wana afya mbovu kutokana mshahara kiduchu unaotokana na utawala wa ccm
 
Hizi ndiyo siasa za Tanzania alizotuachia Mtakatifu wenu Nyerere yaani watu wapo kimajungu tu, lakini ipo siku wanayoyaombea watayapata
 
Polisi waache vitisho kwa wananchi...kwani kuwatisha hivyo ndio kunaamsha hasira kali na kupelekea kuvamia vituo hivo ambavyo vingi askari wake wana afya mbovu kutokana mshahara kiduchu unaotokana na utawala wa ccm
 
Attachments

  • VID-20240830-WA0027.mp4
    5.6 MB
Polisi hali sio shwari
 
Attachments

  • IMG-20240830-WA0025.jpg
    404.8 KB · Views: 1
 
Attachments

  • VID-20240830-WA0032.mp4
    11.4 MB
hili kweli jeshi kutoka form four failures
sasa wateke vituo vya polisi ili waibe hela au jamani yani mnao hadi ushahidi wa zoomcall na bado hamjawakamata mbona mnazembea tunawalipa kusimamia sheria au kupiga mikwara.
 
Shujaa Magufuli wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume πŸ˜„
Ccm ni dini mungu wake alikuwa MAGUFULI leo ccm inaongozwa na malkia ujinga ni ule ule unaendelea wa kuteka na kupoteza ambaye mwasisi wake ni Magufuli wa chato
 
Wakati utafika hata hao walioshika mipini wataachia siraha zao na kukimbia let's wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…