Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkalukungone Mwamba inaelekea wewe uliambiwa. Kama uliambiwa ulipotoshwa. Polisi ndio waliwashambulia raia ambao hawakua hata na tooth pick.Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa
Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu Lissu kujaa na hivyo baadhi ya wafuasi hao waliokuwa nje ya Mahakama walianzisha fujo na kujaribu kuwashambulia askari ambao walijilazimisha na kutuliza fujo hizo haraka.
Jeshi la Polisi linatoa wito kuwa kitendo chochote cha kuwachokoza askari kitashughulikiwa haraka na kuyarejesha mazingira ya usalama kwenye eneo husika haraka kwa kadiri inavyowezekana.
Kuna kila sababu ya kuanzisha Hamza Day.R I P shujaa Hamza hakika ulituheshimisha sana tunaoonewa na hawa majambazi wanaovaa uniform View attachment 3472821View attachment 3472823
Ila hili jeshi nalo jau sanaPolisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa
Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu Lissu kujaa na hivyo baadhi ya wafuasi hao waliokuwa nje ya Mahakama walianzisha fujo na kujaribu kuwashambulia askari ambao walijilazimisha na kutuliza fujo hizo haraka.
Jeshi la Polisi linatoa wito kuwa kitendo chochote cha kuwachokoza askari kitashughulikiwa haraka na kuyarejesha mazingira ya usalama kwenye eneo husika haraka kwa kadiri inavyowezekana.
Tumekuwa wajinga sasa hata video hatuzielewiJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kutokea kwa vurugu katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo wakati shauri la kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu likiendelea kusikilizwa, ambapo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema vurugu hizo zilihusisha baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao walikuwa wamekusanyika nje ya ukumbi wa Mahakama uliokuwa ukisikiliza kesi ya Tundu Lissu na baadhi ya wafuasi waliokuwa nje kuanza kufanya fujo na kuwashambulia Askari.
"Baadhi ya wafuasi waliokuwa nje ya Mahakama walianzisha fujo na kujaribu kuwashabulia askari ambao walikuwa eneo hilo, askari polisi walijihami na kufanikiwa fujo hizo haraka"
Hayo maaskari ni ma form four failure uelewa mdogo bangi nyingiiSwali la ufahamu
kama askari anafanya mambo ya kijinga kuna ubaya gani akishambuliwa ?
ila askari police duniani wanafanana akili huenda ni kazi ya laana. IDK.Hayo maaskari ni ma form four failure uelewa mdogo bangi nyingii
Huwezi kuangua papai kwa kutumia goboree