Interesting! kwamba Muliro anataka kusema anaishi katika dunia yake ya kipekee na kuna video kaziona pekeyake tu hao "wanachama" wakianzisha vurugu na polisi wakajihami.??
Wamefanya fujo wapi? Hao walikuwa wanashangilia na kumshangilia Tundulissu kama mwenyekiti wao. Askari kwa masifa yao wakaanza kuwapiga mateke na marungu ndio nao wakaanza kujibu kwa kuwapiga kama wanavyowapiga ndipo ugomvi ukaanzia hapo na wakaanza kumpiga ya mande huyo raia asiyekuwa na kosa lolote zaidi ya kujitetea kwa kipigo walichokianzisha wao bila sababu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.