GE2025 Jeshi la Polisi: Tumewadhibiti wafuasi wa CHADEMA walioleta fujo Mahakama Kuu Dar es salaam

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Au angesema ni video za zamani ambazo zinataka kutishia amani na umoja wa kitaifa
 
Hongereni sana jeshi la polisi kwa kuwashughulikia wavunja amani!
 
Interesting! kwamba Muliro anataka kusema anaishi katika dunia yake ya kipekee na kuna video kaziona pekeyake tu hao "wanachama" wakianzisha vurugu na polisi wakajihami.??
 
Wamefanya fujo wapi? Hao walikuwa wanashangilia na kumshangilia Tundulissu kama mwenyekiti wao. Askari kwa masifa yao wakaanza kuwapiga mateke na marungu ndio nao wakaanza kujibu kwa kuwapiga kama wanavyowapiga ndipo ugomvi ukaanzia hapo na wakaanza kumpiga ya mande huyo raia asiyekuwa na kosa lolote zaidi ya kujitetea kwa kipigo walichokianzisha wao bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…