McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari.
Polisi wamesema wananchi wanaendelea kusherehekea bila bughudha na wametoa wito wa kuendelea kutii sheria ili amani idumu.
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeendelea kuwepo mitaani kuhakikisha kila mmoja yuko salama na hakuna anayevunja sheria.