Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
Ni kwa mara nyingine naliomba Jeshi la Polisi ndani ya mji wa Bunda kukamata hiki kikosi kazi kinachojihusisha na uhalifu, uporaji na udhalilishaji wanawake.
Hili ni janga na lisipodhibitiwa madhara yake ni makubwa mno
.Kuna vijana watatu ambao kwa sasa ndio vinara wa matukio ya kihalifu hapa mjini.Wanapora,wanauza dhahabu feki lakini pia wanajihusisha na uhalifu wa kimtandao! Ni lazima jitihada za dhati zifanyike kuwadhibiti mapema kabla mambo hayajaharibika huko mbele ya safari,tatizo tu rushwa kwa baadhi ya wahusika.
Mbaya zaidi hawa wahalifu wamefikia hatua ya kurubuni kundi kubwa sana la watoto wa shule kuingia kwenye uhalifu na kuacha kuendelea na masomo. Mfano hai ni kijana sikonde,aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule moja ya sekondari hapa bunda aliuawa akiwa anashirikiana na hawa wahalifu kufanya uhalifu maeneo ya Tarime.
Kijana mwingine aliyeuawa ni kulwa Gidion ambaye nae aliacha masomo na kujiunga na kikundi cha uhalifu nae aliuawa akiwa anashiriki uhalifu eneo la bitaraguru Bunda.
Hawa vijana wanaongeza mtandao wao Kila kukicha na hata matukio ya uhalifu wa kuiba na kuchomwa maduka tarehe 29.10 .2025 walishiriki.
Mbali na kushiriki matukio ya kutapeli watu kwa kuwazuia dhahabu feki kundi hili limeanza uhalifu wa kimtandao suala ambalo limeibua maswali mengi.
Pia mara kadhaa wamekuwa wakishiriki uhalifu kwa udhalilishaji kwa watoto wa kike hasa nyakati za usiku.
VINARA HAO WA UHALIFU NI KINA NANI
Vijana Hawa wanajulikana kwa majina ya Gega,Mundu na Kolo. Haya majina yanajulikana sana tatizo tu uadilifu kwa baadhi ya walinzi wa amani ni changamoto.Wanapendelea zaidi kujificha maeneo ya pool table,nyamara pub na maeneo ya kamari.
OCD Bunda naamini katika uwezo wako kamata Hawa majangili na mtandao wao wote Bunda iwe salama.