Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

Hahahaha nilivyomuona kwenye ile clip anamsifia binti yake kuwa ni mzuri nikajua hapa kuna shida kwa huyu Mzee
 
Mbinu hii ya kishamba haiwezi kumtisha yeyote kwa sasa
Uzuri tunawajua polifisiem, utayari wao ni kukimbia kimbia hovyo barabarani kukwamisha harakati za watumiaji wengine wa barabara.
Hakuna jipya, wao wanaita "police visibility" kwamba waonekane watu watishike!!!😃.

Mtakimbia sana polifisiem, mtawasha magari yenu ya washawashwa kwa mara ya kwanza toka 2015 mlipoyapaki, na bado tutawanyoosha tu
 
Mfanya fujo anabembelezwa!?!...ni wakugongwa vilivyo
 
Maandamano yatakuwepo kama kawaida.
 
uroho wa madaraka kwa baadhi ya viongoz ndio utakaotusababishia matatizo sisi tusio na hatia halafu bado tunaaminishwa kuwa hao waroho wa madaraka ni watu wa mungu
 
CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa!

Ya 2001 yanaweza kujirudia, na safari hii yanaweza kuwa worse, but they should know that, the world is watching.

Bara nako ni swala la muda tu maana walioenguliwa mpaka sasa hatima yao haijulikana.
The world is watching how you try hard to bring chaos
 
Nawaonea huruma askari wetu na familia zao.

Tanzania bado haihitaji nguvu za kipolisi wal kijeshi.

Ila mrejesho wake unaweza acha makovo ktk familia zetu. Mungu atuongoze na kutupa uvumilivu tusiingize nchi yetu katka mtego wa wasio itakia mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…