Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Hata uteuzi wake uliacha maswali kwa wenye akili kwani mmesahau?Naona Sirro amekwenda Zanzibar kuchochea vurugu Badala ya kuleta Amani, Huyu IGP ana kasoro nyingi sana....imagine anafika kule neno lake la Kwanza ni kwamba nimekuja kuwaambia "nitawagonga", huyu ni mzima au ana mental disorder flan hatuielewi?
Nadhani Huyu IGP pia ndo aliyeanzisha kitu kinachoitwa Jeshi la Akiba ambacho kimesambaratishwa na Lissu jana, Naomba Mamlaka zimwondoe Sirro Unguja na Pemba haraka ataleta maafa!