Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa.
Kwa mujibu wa raia waliopo maeneo ya jirani, baada ya kombola lililorushwa na jeshi la Congo kwenye boat hiyo, imesikika milio ya risasi za bunduki ndogo, jambo lililoashilia kujibizana.
Katika picha, mshale unapoanzia, ndo kisiwa cha DRC, mshale unaelekea kwenye kambi ya jeshi la marine la Rwanda.
taarifa za vifo na majeruhi,bado hazijawekwa wazi na wasemaji wa jeshi husika.