Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa.
Kwa mujibu wa raia waliopo maeneo ya jirani, baada ya kombola lililorushwa na jeshi la Congo kwenye boat hiyo, imesikika milio ya risasi za bunduki ndogo, jambo lililoashilia kujibizana.

Katika picha, mshale unapoanzia, ndo kisiwa cha DRC, mshale unaelekea kwenye kambi ya jeshi la marine la Rwanda.
taarifa za vifo na majeruhi,bado hazijawekwa wazi na wasemaji wa jeshi husika.
View attachment 3233627
Mtu anavutwa taratibu kwenye target.... Taratiiiiibuuu..... Yaani PK akijichanganya TU atajua kwanini muwa sio tunda lakini unatengeneza juisi..
Kanajiona sana. Kwenye hivi vimito na kenyewe kana jeshi la majini 🤣😂🤣😂😂🤣🙌🙌🙌🙌 Banglaadeeshiiiiiii
Mama Samia hebu tufurahishe Mama. Tuma Makomando wetu waoperate through Jeshi la DRC.

I want to see the end of this game.
 
Safi kabisa 👏
Pk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!

UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..
 
mm nasubiria nijichagulie pisi yangu.
 
Mavi
 
Iyo no wakimbilie uganda sasa sio Tz washaona chaka lao mwisho tuna wapa nafasi kama kina bashiru
 
Jeshi la majini Ziwa Kivu! Wakati wamarekani wametanda North and South Atlantic yote; the Pacific lote; the Indian lote; the Southern; the Arctic na vibahari vingine vidogo vidogo the Mediterranean; The Red Sea; Southern China Sea; the Homuz Channel; the Black Sea sisi tunazungmzia Z. Kivu! Dah.
Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?
 
FARDC wanachezea moto, Jeshi shupavu la Rwanda wakijibu mapigo makubwa endelevu wasikimbilie SADC, EAC, AU au UN
 
Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?
Nilijua US ni muunganiko wa states 50 kumbe ni 42? Thanks. Sikusema ni lazima tulingane na US anyway.
 
Jeshi la majini Ziwa Kivu! Wakati wamarekani wametanda North and South Atlantic yote; the Pacific lote; the Indian lote; the Southern; the Arctic na vibahari vingine vidogo vidogo the Mediterranean; The Red Sea; Southern China Sea; the Homuz Channel; the Black Sea sisi tunazungmzia Z. Kivu! Dah.
Rwanda haijazungukwa wala kupakana na bahari yoyote
 
Mtu anavutwa taratibu kwenye target.... Taratiiiiibuuu..... Yaani PK akijichanganya TU atajua kwanini muwa sio tunda lakini unatengeneza juisi..
Kanajiona sana. Kwenye hivi vimito na kenyewe kana jeshi la majini 🤣😂🤣😂😂🤣🙌🙌🙌🙌 Banglaadeeshiiiiiii
Mama Samia hebu tufurahishe Mama. Tuma Makomando wetu waoperate through Jeshi la DRC.

I want to see the end of this game.
Tanzania imeshajifia tangu kumalizika awamu ya 4
Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?
50
 
Pk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!

UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..
Huko Rwanda kuna makabila mangapi mpaka useme 🇹🇿 itapokea wakimbizi wa watusi?
 
Back
Top Bottom