kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
hao ndo hutengenezwa kuwa rebels na kubadilishwa majina kuwa wakongoIInasemekana baadhi ya ndugu wa askari wa jeshi la Ruanda hupokea majeneza yasiyo na miili ndani na kulazimishwa kuzika haraka tena chini ya ulinzi wa askari.
Mtu anavutwa taratibu kwenye target.... Taratiiiiibuuu..... Yaani PK akijichanganya TU atajua kwanini muwa sio tunda lakini unatengeneza juisi..Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa.
Kwa mujibu wa raia waliopo maeneo ya jirani, baada ya kombola lililorushwa na jeshi la Congo kwenye boat hiyo, imesikika milio ya risasi za bunduki ndogo, jambo lililoashilia kujibizana.
Katika picha, mshale unapoanzia, ndo kisiwa cha DRC, mshale unaelekea kwenye kambi ya jeshi la marine la Rwanda.
taarifa za vifo na majeruhi,bado hazijawekwa wazi na wasemaji wa jeshi husika.
View attachment 3233627
Pk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!Safi kabisa π
mm nasubiria nijichagulie pisi yangu.Pk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!
UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..
MaviPk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!
UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..
Iyo no wakimbilie uganda sasa sio Tz washaona chaka lao mwisho tuna wapa nafasi kama kina bashiruPk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!
UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..
Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?Jeshi la majini Ziwa Kivu! Wakati wamarekani wametanda North and South Atlantic yote; the Pacific lote; the Indian lote; the Southern; the Arctic na vibahari vingine vidogo vidogo the Mediterranean; The Red Sea; Southern China Sea; the Homuz Channel; the Black Sea sisi tunazungmzia Z. Kivu! Dah.
Nilijua US ni muunganiko wa states 50 kumbe ni 42? Thanks. Sikusema ni lazima tulingane na US anyway.Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?
Shida yenu mnatamaa sana ona sasa kipande cha ardhi ya Congo mnalazimisha mchukuesisi kama RWanda tumewakosea nin mbona mnatuchukia ivo au kisa mnaoona tunawapita economically
atatolewa madarakani kama alivyo ingiaKagame Hana budi kushikishwa Adabu..
Rwanda haijazungukwa wala kupakana na bahari yoyoteJeshi la majini Ziwa Kivu! Wakati wamarekani wametanda North and South Atlantic yote; the Pacific lote; the Indian lote; the Southern; the Arctic na vibahari vingine vidogo vidogo the Mediterranean; The Red Sea; Southern China Sea; the Homuz Channel; the Black Sea sisi tunazungmzia Z. Kivu! Dah.
Tanzania imeshajifia tangu kumalizika awamu ya 4Mtu anavutwa taratibu kwenye target.... Taratiiiiibuuu..... Yaani PK akijichanganya TU atajua kwanini muwa sio tunda lakini unatengeneza juisi..
Kanajiona sana. Kwenye hivi vimito na kenyewe kana jeshi la majini π€£ππ€£πππ€£ππππ Banglaadeeshiiiiiii
Mama Samia hebu tufurahishe Mama. Tuma Makomando wetu waoperate through Jeshi la DRC.
I want to see the end of this game.
50Kwani lazima tulingane na US? Hivi unajua US ni muunganiko wa nchi 42?
Huko Rwanda kuna makabila mangapi mpaka useme πΉπΏ itapokea wakimbizi wa watusi?Pk huu mwaka 2025 ndio atajua Maana ya Vita Watu Washamchoka Watakimbia awa m23 Utasikia tumeona tutoe muda au Nafasi ya mazungumzo!!!! kwasasa akuna mazungumzo tena!! mkutano wa Dar ndio wa mwisho kwake sasa kazi kipimo cha utu,, ninajamaa yangu anasema huu mwaka tutanfraisha PK adi acheke sanaaaa!!!
UGANdA kaanza kunywea omemwambia mwenzie mimi Simo!!! Umeuwa kaburu 14 Utalipia Vibaya sana jamaa Wameamua kutunza Heshima yao EST Africa. TUJIANDAE kupokea Wakimbizi w kitusi awana pakwenda zaid ya Tanzania ..