Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

Inasemekana baadhi ya miili ya hao askari iliungua vibaya na kusambaratika kiasi cha kutoonekana kabisa kama binadamu.

Inaumiza sana kwa vifo ambavyo si vya lazima kwa vijana askari wa Kirwanda.
Aise inasikitisha sana mkuu
 
Wachafu sana hao waende Sudan huko
 
Tatizo wakipiga kidogo wanaenda kucheza sebene.
Sa hizi kichapo kinaendelea huko Bukavu hamna jeshi raia ndo kwanza wanaunga mkono waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…