Jeshi la Rwanda ni lini litaondoka DRC?

Jeshi la Rwanda ni lini litaondoka DRC?

Serikali ya Drc iliwaalika majeshi ya SADC na EAC.....ila baadae majeshi ya EAC yalifukuzwa.
Yani DRC ilialika SADC, na EAC, lakini baadaye majeshi ya EAC yalifukuzwa na nani ? huyo huyo DRC aliyetualika? Sasa tulirudi vipi huko, maana nasikia majeshi ya EAC bado yapo, tulialikwa tena baada ya kufukuzwa au tulienda tu tukaanza kulinda amani?
 
Tz ipo huko kwa mwavuli wa SADC sio EAC.
 
Back
Top Bottom