MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF.
Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje.
Hapo hapo, Goma, M23 imeshaanzisha Police na imeanza kufanya kazi.
Ongezea Burundi tayari imeanza kuondoa mgambo wake kurudi huko. Na kwenyewe kama jumba limeanza kuunguaKwa mazingira hayo drc hakuna rais
Iliyokwenda kusaidia FARDC iko wapi? Nilianzisha huu uzi ukafutwa fasta.Jw nayo ipo mbioni kwenda kuwasaidia m23
Iliyokwenda kusaidia FARDC iko wapi? Nilianzisha huu uzi ukafutwa fasta.
Weeee, thubutu! Bendela nyeupe inapepeaWalikimbia pia kule hamna vimemo
asa ccm inaingiaje hapo we lizeeeeKubwa jinga linamegwa vipande vipande there will be no DRC any more.
Sio kweli, Banyankole (Hima) hawana mafungamano yoyote na Tutsis.Kagame na Museveni ni Kurwa na Dotto, Makabila yao yana undugu mkubwa sana
Rais wa 🇧🇮 alikomba zoteHizo zilikuwa ni kazi za kikosi cha East Africa au hakuna fedha?!
Imewezekanaje?!Rais wa 🇧🇮 alikomba zote