Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF.

Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje.

Hapo hapo, Goma, M23 imeshaanzisha Police na imeanza kufanya kazi.
 
DRC Sasa ni uwanja wa vita

Kubwa jinga linamegwa vipande vipande there will be no DRC any more.
 
Hizo zilikuwa ni kazi za kikosi cha East Africa au hakuna fedha?!
 
Kagame na Museveni ni Kurwa na Dotto, Makabila yao yana undugu mkubwa sana
Sio kweli, Banyankole (Hima) hawana mafungamano yoyote na Tutsis.

While the Banyankoles are an ethnic bantu the Tutsis have traces to the hamitic roots.
 
Back
Top Bottom