Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

Hata TISS nao wamechemsha vetting yao ni bure kabisa
 
Binafsi sina imani na mwanamke!! Wanawake woote hawana maamuzi binafsi............

.
Siyo wanawake wote, bali walio wengi.

Wanawake kama Margret Thatcher, Merkel na Indira Ghandi walikuwa viongozi wenye misimamo hasa.
 
Yule bwana jina lake nimelisahau lakini anatokea Arusha na alikuwa kibosile hapo uhamiaji yupo wapi siku hizi..??,
Atafutwe arudishwe kazini. nadhani ni Mrangi kabila lake.
 
Hata TISS nao wamechemsha vetting yao ni bure kabisa
TISS ya siku hizi ni takataka. Wamejaa wapigaji tu wanaowatishia watu ili wawape pesa. Hao wanaofanya vetting nao ni walaji wa rushwa wakubwa.

Yule aliyekuwa Waziri wa madini, kila kukitokea fununu za uwezekano wa Baraza la mawaziri kubadilishwa alikuwa anagawa kati ya 5m na 10m kwa kila mmoja ili wajaze sifa za kumpamba kwa mama. Na hiyo njia imefanya kazi maana leo kapewa mpaka cheo ambacho hakipo kwenye katiba.
 
Kwani wakimbizi NI WA Kongo warundi na wanyaruanda mbona hamsemi wasomali wakenya msumbuji Malawi na zambia
 
Usikute nae anajihami Tanzania hatuna majina ya mkunda hapa upatikana Congo na Burundi atuambie asili yake wapi.

Asilli siyo tatizo. Tatizo lipo kwenye kufuata utaratibu unaokuwezesha kuwa raia wa Tanzania kama wewe mwenyewe au wazazi wako siyo raia wa asili.
 
M
Asilli siyo tatizo. Tatizo lipo kwenye kufuata utaratibu unaokuwezesha kuwa raia wa Tanzania kama wewe mwenyewe au wazazi wako siyo raia wa asili.
Mtu hawezi acha asili yake
 
Kwani wakimbizi NI WA Kongo warundi na wanyaruanda mbona hamsemi wasomali wakenya msumbuji Malawi na zambia

Wakimbizi ambao ni hatari ni wa Burundi na Rwanda, na hasa wa jamii ya watusi. Kwa sababu hawa kila wanapokuwa huwa wanataka kuteka dola. Na kwetu wamefanikiwa sana. Fikiria kuwa mpaka sasa tayari watu hawa, mmojawapo amefanikiwa kupata mpaka cheo cha Unaibu Waziri Mkuu, wakati ipo wazi akiwa waziri tu alifanya mambo ya ajabu, kuwanyang'anya vitalu vya madini Watanzania na kuwapa jamaa zake hao ambao siyo Watanzania, na kujitajirisha kwa kiwango kikubwa. Na sasa anatumia utajiri wake kuhonga maafisa wanaofanya vetting. Na bila shaka, sasa ataitumia nafasi aliyo nayo kuwajaza hao jamaa zake ndani ya Serikali.
 
M

Mtu hawezi acha asili yake
Kama nchi ipo makini, kama wewe siyo raia wa asili, unachunguzwa mwenendo na historia yako kabla ya kupewa uraia. Na kwa baadhi ya mataifa kuna nafasi ambazo huwezi kupewa.
 
???????πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Inafikirisha!
 
Uhamiaji wanachojua ni kujipiga selfie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…